Proverbs 20:23
Bwana anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu, 2 nazo mizani zisizo halali hazimpendezi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Divers weights are an abomination unto the LORD; and a false balance is not good.
In Context
22Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!” 2 Mngojee Bwana, naye atakuokoa. 1
24Hatua za mtu huongozwa na Bwana. 2 Anawezaje basi mtu yeyote kuelewa njia yake mwenyewe? 1
Cross References
Proverbs 20:10Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, 2 Bwana huchukia vyote viwili. 1
Hosea 12:7Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu; 2 hupenda kupunja. 1