Proverbs 20:22
Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!” 2 Mngojee Bwana, naye atakuokoa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Say not thou, I will recompense evil; but wait on the LORD, and he shall save thee.
In Context
21Urithi upatikanao haraka mwanzoni, 2 hautabarikiwa mwishoni. 1
23Bwana anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu, 2 nazo mizani zisizo halali hazimpendezi. 1
Cross References
Deuteronomy 32:35Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. 2 Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; 1 siku yao ya maafa ni karibu, 2 na maangamizo yao yanawajia haraka.” 1
2 Samuel 16:12Inawezekana kwamba Bwana ataona dhiki yangu na kunilipa mema kwa ajili ya laana ninayopokea leo.”
Psalms 37:34Mngojee Bwana, 2 na uishike njia yake. 1 Naye atakutukuza uirithi nchi, 2 waovu watakapokatiliwa mbali, 2 utaliona hilo. 1
Proverbs 17:13Ikiwa mtu atalipa baya kwa jema, 2 kamwe ubaya hautaondoka katika nyumba yake. 1
Proverbs 24:29Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda mimi; 2 nitamlipiza mtu yule kwa kile alichonitendea.” 1
Lamentations 3:25Bwana ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake, 2 kwa yule ambaye humtafuta; 1