Hosea 12:7
Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu; 2 hupenda kupunja. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He is a merchant, the balances of deceit are in his hand: he loveth to oppress.
In Context
Cross References
Genesis 49:18“Ee Bwana, nautafuta wokovu wako. 1
1 Samuel 12:3Mimi ninasimama hapa. Shuhudieni juu yangu mbele za Bwana na mpakwa mafuta wake. Nimechukua maksai wa nani? Nimechukua punda wa nani? Ni nani nimepata kumdanganya? Ni nani nimepata kumwonea? Ni kutoka kwenye mkono wa nani nimepokea rushwa ili kunifanya nifumbe macho yangu? Kama nimefanya chochote katika hivi, mimi nitawarudishia.”
Proverbs 16:11Vipimo na mizani za halali hutoka kwa Bwana; 2 mawe yote ya kupimia yaliyo katika mfuko ameyafanya yeye. 1
Isaiah 56:1Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Dumisheni haki 2 na mkatende lile lililo sawa, 1 kwa maana wokovu wangu u karibu 2 na haki yangu itafunuliwa upesi. 1
Ezekiel 22:29Watu wa nchi wanatoza kwa nguvu na kufanya unyangʼanyi, wanawatenda jeuri maskini na wahitaji na kuwaonea wageni, wakiwanyima haki.
Joel 2:12“Hata sasa,” asema Bwana, 2 “nirudieni kwa mioyo yenu yote, 2 kwa kufunga, kwa kulia na kuomboleza.” 1