Mithali 20:30
Mapigo na majeraha huusafisha ubaya, 2 nayo michapo hutakasa utu wa ndani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The blueness of a wound cleanseth away evil: so do stripes the inward parts of the belly.
In Context
29Utukufu wa vijana ni nguvu zao, 2 mvi ni fahari ya uzee. 1
Cross References
Proverbs 22:15Upumbavu umefungwa ndani ya moyo wa mtoto, 2 bali fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali naye. 1
Isaiah 53:5Lakini alitobolewa kwa ajili ya makosa yetu, 2 alichubuliwa kwa ajili ya maovu yetu; 1 adhabu iliyotuletea sisi amani ilikuwa juu yake, 2 na kwa majeraha yake sisi tumepona. 1