Proverbs 20:29
Utukufu wa vijana ni nguvu zao, 2 mvi ni fahari ya uzee. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The glory of young men is their strength: and the beauty of old men is the grey head.
In Context
28Upendo na uaminifu humweka mfalme salama, 2 kwa njia ya upendo, kiti chake cha enzi huwa salama. 1
30Mapigo na majeraha huusafisha ubaya, 2 nayo michapo hutakasa utu wa ndani.
Cross References
Leviticus 19:32“ ‘Uwapo mbele ya mzee, simama ili kuonyesha heshima kwa wazee, nawe umche Mungu wako. Mimi ndimi Bwana.
Proverbs 16:31Mvi ni taji ya utukufu; 2 hupatikana kwa maisha ya uadilifu. 1
1 John 2:14Nawaandikia ninyi akina baba, 2 kwa sababu mmemjua 2 yeye aliye tangu mwanzo. 1 Nawaandikia ninyi vijana, 2 kwa sababu mna nguvu, 2 na neno la Mungu linakaa ndani yenu, 2 nanyi mmemshinda yule mwovu. 1 Msiupende Ulimwengu