Proverbs 20:5
Makusudi ya moyo wa mwanadamu ni maji yenye kina, 2 lakini mtu mwenye ufahamu huyachota. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Counsel in the heart of man is like deep water; but a man of understanding will draw it out.
In Context
4Mvivu halimi kwa majira; 2 kwa hiyo wakati wa mavuno hutazama 2 lakini hapati chochote. 1
6Watu wengi hujidai kuwa na upendo usiokoma, 2 bali mtu mwaminifu ni nani awezaye kumpata? 1
Cross References
Proverbs 18:4Maneno ya kinywa cha mwanadamu ni kina cha maji, 2 bali chemchemi ya hekima ni kijito kinachobubujika. 1