Proverbs 20:4
Mvivu halimi kwa majira; 2 kwa hiyo wakati wa mavuno hutazama 2 lakini hapati chochote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Ni kwa heshima ya mtu kujitenga ugomvi, 2 bali kila mpumbavu ni mwepesi kugombana. 1
5Makusudi ya moyo wa mwanadamu ni maji yenye kina, 2 lakini mtu mwenye ufahamu huyachota. 1
Cross References
Proverbs 10:4Mikono mivivu hufanya mtu kuwa maskini 2 lakini mikono yenye bidii huleta utajiri. 1
Proverbs 19:15Uvivu huleta usingizi mzito, 2 naye mtu mzembe huona njaa. 1
Proverbs 21:25Kutamani sana kwa mvivu kutakuwa kifo chake, 2 kwa sababu mikono yake haitaki kufanya kazi. 1
Proverbs 26:13Mvivu husema, “Yuko simba barabarani, 2 simba mkali anazunguka mitaa!” 1
Matthew 25:3Wale wapumbavu walichukua taa zao lakini hawakuchukua mafuta ya akiba,
2 Peter 1:5Kwa sababu hii hasa, jitahidini sana katika imani yenu kuongeza wema; na katika wema, maarifa;