Proverbs 20:6
Watu wengi hujidai kuwa na upendo usiokoma, 2 bali mtu mwaminifu ni nani awezaye kumpata? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Most men will proclaim every one his own goodness: but a faithful man who can find?
In Context
5Makusudi ya moyo wa mwanadamu ni maji yenye kina, 2 lakini mtu mwenye ufahamu huyachota. 1
7Mtu mwenye haki huishi maisha yasiyo na lawama, 2 wamebarikiwa watoto wake baada yake. 1
Cross References
Psalms 12:1Bwana tusaidie, kwa kuwa wacha Mungu wametoweka; 2 waaminifu wametoweka miongoni mwa wanadamu. 1
Proverbs 25:14Kama vile mawingu na upepo pasipo mvua 2 ndivyo alivyo mtu ajisifuye kwa zawadi ambazo hatoi. 1
Ecclesiastes 7:28ningali natafiti 2 lakini sipati: 1 nilimpata mwanaume mmoja mnyofu miongoni mwa elfu, 2 lakini hakuna mwanamke mmoja mnyofu miongoni mwao. 1
Micah 7:1Taabu gani hii niliyo nayo! 1 Nimefanana na yule akusanyaye 2 matunda ya kiangazi, 1 aokotaye masazo baada ya kuvunwa 2 shamba la mizabibu; 1 hakuna kishada chenye matunda ya kula, 2 hakuna hata ile tini ya mwanzoni ninayoitamani. 1
Matthew 6:2“Hivyo mnapowapa wahitaji, msipige panda mbele yenu kama wafanyavyo wanafiki katika masinagogi na mitaani, ili wasifiwe na watu. Amin nawaambia wao wamekwisha kupokea thawabu yao.
Luke 18:11Yule Farisayo, akasimama, akasali hivi na kuomba kwake mwenyewe: ‘Mungu, nakushukuru kwa sababu mimi si kama watu wengine ambao ni wanyangʼanyi, wadhalimu, na wazinzi, wala kama huyu mtoza ushuru.