Proverbs 20:8
Wakati mfalme aketipo katika kiti chake cha enzi kuhukumu, 2 hupepeta ubaya wote kwa macho yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A king that sitteth in the throne of judgment scattereth away all evil with his eyes.
In Context
7Mtu mwenye haki huishi maisha yasiyo na lawama, 2 wamebarikiwa watoto wake baada yake. 1
9Ni nani awezaye kusema, “Nimeuweka moyo wangu safi; 2 mimi ni safi na sina dhambi?” 1
Cross References
2 Samuel 23:4yeye ni kama mwanga wa asubuhi jua lichomozapo 2 asubuhi isiyo na mawingu, 1 kama mwanga baada ya mvua 2 uchipuzao majani kutoka ardhini.’ 1
Psalms 92:9Ee Bwana, hakika adui zako, 2 hakika adui zako wataangamia. 2 Wote watendao mabaya watatawanyika. 1
Psalms 101:6Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi, 2 ili waweze kuishi pamoja nami; 1 yeye ambaye moyo wake hauna lawama 2 atanitumikia. 1
Proverbs 20:26Mfalme mwenye hekima hupepeta waovu, 2 hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao. 1
Proverbs 29:14Kama mfalme akiwaamua maskini kwa haki, 2 kiti chake cha enzi kitakuwa thabiti siku zote. 1