Proverbs 20:26
Mfalme mwenye hekima hupepeta waovu, 2 hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A wise king scattereth the wicked, and bringeth the wheel over them.
In Context
27Taa ya Bwana huchunguza roho ya mwanadamu, 2 huchunguza utu wake wa ndani. 1
Cross References
2 Samuel 4:9Daudi akawajibu Rekabu na Baana nduguye, wana wa Rimoni, Mbeerothi, akasema, “Hakika kama Bwana aishivyo, ambaye ameniokoa kutoka taabu zote,
Psalms 101:5Kila amsingiziaye jirani yake kwa siri, 2 huyo nitamnyamazisha; 1 mwenye macho ya dharau na moyo wa kiburi 2 huyo sitamvumilia. 1
Proverbs 20:8Wakati mfalme aketipo katika kiti chake cha enzi kuhukumu, 2 hupepeta ubaya wote kwa macho yake. 1