Proverbs 29:14
Kama mfalme akiwaamua maskini kwa haki, 2 kiti chake cha enzi kitakuwa thabiti siku zote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The king that faithfully judgeth the poor, his throne shall be established for ever.
In Context
13Mtu maskini na mtu anayeonea wanafanana kwa jambo hili: 2 Bwana hutia nuru macho yao wote wawili. 1
15Fimbo ya maonyo hutia hekima, 2 bali mtoto aliyeachiwa bila maonyo 2 humwaibisha mama yake. 1
Cross References
Job 29:11Yeyote aliyenisikia alinena mema juu yangu, 2 nao walioniona walinisifu, 1
Psalms 72:12Kwa maana atamwokoa mhitaji anayemlilia, 2 aliyeonewa asiye na wa kumsaidia. 1
Psalms 89:2Nitatangaza kuwa upendo wako unasimama imara milele 2 na uaminifu wako umeuthibitisha mbinguni. 1
Proverbs 20:28Upendo na uaminifu humweka mfalme salama, 2 kwa njia ya upendo, kiti chake cha enzi huwa salama. 1
Proverbs 28:16Mtawala dhalimu hana akili, 2 bali yeye achukiaye mapato ya udhalimu 2 atafurahia maisha marefu. 1
Isaiah 1:17jifunzeni kutenda mema! 1 Tafuteni haki, 2 watieni moyo walioonewa. 1 Teteeni shauri la yatima, 2 wateteeni wajane. 1