Proverbs 21:10
Mtu mwovu hutamani sana ubaya, 2 jirani yake hapati huruma kutoka kwake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The soul of the wicked desireth evil: his neighbour findeth no favour in his eyes.
In Context
9Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba, 2 kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi. 1
Cross References
Psalms 36:4Hata kitandani mwake hupanga hila mbaya, 2 hujitia katika njia ya dhambi 2 na hakatai lililo baya. 1
Psalms 52:3Unapenda mabaya kuliko mema, 2 uongo kuliko kusema kweli. 1
Psalms 112:9Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; 2 haki yake hudumu milele; 2 pembe yake itatukuzwa kwa heshima. 1
Proverbs 12:12Waovu hutamani mateka ya watu wabaya, 2 bali shina la mwenye haki hustawi. 1
Isaiah 32:6Kwa kuwa mpumbavu hunena upumbavu, 2 moyo wake hushughulika na uovu: 1 Hutenda mambo yasiyo ya kumcha Mungu, 2 na hueneza habari za makosa kuhusu Bwana; 1 yeye huwaacha wenye njaa bila kitu, 2 na wenye kiu huwanyima maji. 1
Mark 7:21Kwa maana kutoka ndani ya moyo wa mtu hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji, uzinzi,