Proverbs 21:14
Zawadi itolewayo kwa siri hutuliza hasira 2 na rushwa iliyofichwa kwenye nguo hutuliza ghadhabu kali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A gift in secret pacifieth anger: and a reward in the bosom strong wrath.
In Context
13Mtu akiziba masikio asisikie kilio cha maskini, 2 yeye pia atalia, wala hatajibiwa. 1
15Wakati haki imetendeka, huleta furaha kwa wenye haki, 2 bali kitisho kwa watenda mabaya. 1
Cross References
Genesis 43:11Basi baba yao Israeli akawaambia, “Kama ni lazima iwe hivyo, basi fanyeni hivi: Wekeni baadhi ya mazao bora ya nchi katika mifuko yenu na mpelekeeni yule mtu kama zawadi, zeri kidogo, asali kidogo, vikolezo, manemane, kungu na lozi.
Proverbs 17:8Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; 2 kokote kigeukiapo, hufanikiwa. 1
Proverbs 18:16Zawadi humfungulia njia mtoaji, 2 nayo humleta mbele ya wakuu. 1
Matthew 6:3Lakini ninyi mtoapo sadaka, fanyeni kwa siri, hata mkono wako wa kushoto usijue mkono wako wa kuume unachofanya,