Proverbs 21:17
Mtu apendaye anasa atakuwa maskini, 2 yeyote apendaye mvinyo na mafuta kamwe hatakuwa tajiri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that loveth pleasure shall be a poor man: he that loveth wine and oil shall not be rich.
In Context
16Mtu anayepotea kutoka mapito ya ufahamu, 2 hupumzika katika kundi la waliokufa. 1
18Waovu huwa fidia kwa ajili ya wenye haki, 2 nao wasio waaminifu kwa ajili ya wanyofu. 1
Cross References
Proverbs 21:20Katika nyumba ya mwenye hekima 2 kuna akiba ya vyakula vizuri na mafuta, 1 lakini mtu mpumbavu 2 hutafuna vyote alivyo navyo. 1
Proverbs 23:21kwa maana walevi na walafi huwa maskini, 2 nako kusinzia huwavika matambara. 1
Luke 16:24Hivyo yule tajiri akamwita, ‘Baba Abrahamu, nihurumie na umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake ndani ya maji aupoze ulimi wangu, kwa sababu nina maumivu makuu kwenye moto huu.’
2 Timothy 3:4wasaliti, wakaidi, waliojaa majivuno, wapendao anasa zaidi kuliko kumpenda Mungu: