Proverbs 21:2
Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake, 2 bali Bwana huupima moyo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Every way of a man is right in his own eyes: but the LORD pondereth the hearts.
In Context
1Moyo wa mfalme uko katika mkono wa Bwana; 2 huuongoza kama mkondo wa maji, popote apendapo. 1
3Kufanya yaliyo sawa na haki inakubalika 2 zaidi kwa Bwana kuliko dhabihu. 1
Cross References
1 Samuel 16:7Lakini Bwana akamwambia Samweli, “Usitazame sura yake wala kimo chake, kwa kuwa nimemkataa. Bwana hatazami katika vile vitu mwanadamu avitazamavyo. Mwanadamu hutazama katika sura ya nje, lakini Bwana hutazama moyoni.”
Psalms 36:2Kwa kuwa machoni pake mwenyewe hujisifu mno 2 hata hawezi kugundua au kuichukia dhambi yake. 1
Proverbs 16:25Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, 2 bali mwisho wake huelekeza mautini. 1
Proverbs 20:6Watu wengi hujidai kuwa na upendo usiokoma, 2 bali mtu mwaminifu ni nani awezaye kumpata? 1
Proverbs 30:12wale ambao ni safi machoni pao wenyewe 2 kumbe hawakuoshwa uchafu wao; 1
Daniel 5:27Tekeli: Wewe umepimwa katika mizani na umeonekana umepungua. 1