The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 21 › Proverbs 21:3

Proverbs 21:3

Kufanya yaliyo sawa na haki inakubalika 2 zaidi kwa Bwana kuliko dhabihu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

To do justice and judgment is more acceptable to the LORD than sacrifice.

In Context

2Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake, 2 bali Bwana huupima moyo. 1

4Macho ya kudharau na moyo wa kiburi, 2 ambavyo ni taa ya waovu, vyote ni dhambi! 1

Read all of Proverbs 21

Cross References

Psalms 40:7Ndipo niliposema, “Mimi hapa, nimekuja: 2 imeandikwa kunihusu katika kitabu. 1

Proverbs 15:8Bwana huchukia sana dhabihu za waovu, 2 bali maombi ya wanyofu humfurahisha Mungu. 1

Isaiah 1:17jifunzeni kutenda mema! 1 Tafuteni haki, 2 watieni moyo walioonewa. 1 Teteeni shauri la yatima, 2 wateteeni wajane. 1

Hosea 6:6Kwa maana nataka rehema, wala si dhabihu, 2 kumkubali Mungu zaidi 2 kuliko sadaka za kuteketezwa. 1

Micah 6:8Amekuonyesha yaliyo mema, ee mwanadamu. 2 Bwana anataka nini kwako? 1 Ila kutenda kwa haki na kupenda rehema, 2 na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako. 1 Hatia Na Adhabu Ya Israeli 1

Mark 12:33Kumpenda Mungu kwa moyo wote na kwa akili zote na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani kama mtu anavyojipenda mwenyewe ni bora zaidi kuliko kutoa sadaka za kuteketezwa na dhabihu zote.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 21:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 21:2Proverbs 21Proverbs 21:4 →