Proverbs 21:26
Mchana kutwa hutamani zaidi, 2 lakini mnyofu hutoa pasipo kuzuia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He coveteth greedily all the day long: but the righteous giveth and spareth not.
In Context
25Kutamani sana kwa mvivu kutakuwa kifo chake, 2 kwa sababu mikono yake haitaki kufanya kazi. 1
27Dhabihu ya mtu mwovu ni chukizo, 2 si zaidi sana itolewapo kwa nia mbaya! 1
Cross References
Psalms 37:26Wakati wote ni wakarimu na hukopesha bila masharti. 2 Watoto wao watabarikiwa. 1
Matthew 5:42Mpe yeye akuombaye, wala usimgeuzie kisogo yeye atakaye kukukopa. 1 Upendo Kwa Adui (Luka 6:27-28, 32-36)
Acts 20:33Sikutamani fedha wala dhahabu wala vazi la mtu yeyote.
2 Corinthians 9:9Kama ilivyoandikwa: 1 “Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu 2 akawapa maskini; 2 haki yake hudumu milele.”
1 Thessalonians 2:5Kama mjuavyo, hatukuja kwenu kwa maneno ya kujipendekeza au maneno yasiyo ya kweli ili kuficha tamaa mbaya: Mungu ndiye shahidi yetu.