Proverbs 21:25
Kutamani sana kwa mvivu kutakuwa kifo chake, 2 kwa sababu mikono yake haitaki kufanya kazi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The desire of the slothful killeth him; for his hands refuse to labour.
In Context
24Mtu mwenye kiburi na majivuno, “Mdhihaki” ndilo jina lake; 2 hutenda mambo kwa kiburi kilichozidi. 1
26Mchana kutwa hutamani zaidi, 2 lakini mnyofu hutoa pasipo kuzuia. 1
Cross References
Proverbs 6:6Ewe mvivu, mwendee mchwa; 2 zitafakari njia zake ukapate hekima! 1
Proverbs 12:27Mtu mvivu haoki mawindo yake, 2 bali mtu mwenye bidii ana mali za thamani. 1
Proverbs 15:19Njia ya mvivu imezibwa na miiba, 2 bali njia ya mwenye haki ni barabara kuu. 1
Proverbs 20:4Mvivu halimi kwa majira; 2 kwa hiyo wakati wa mavuno hutazama 2 lakini hapati chochote. 1
Proverbs 24:30Nilipita karibu na shamba la mvivu, 2 karibu na shamba la mizabibu la mtu asiye na akili, 1
Proverbs 26:16Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe, 2 kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara. 1