Proverbs 21:5
Mipango ya mwenye bidii huelekeza kwenye faida, 2 kama vile kwa hakika pupa huelekeza kwenye umaskini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Macho ya kudharau na moyo wa kiburi, 2 ambavyo ni taa ya waovu, vyote ni dhambi! 1
6Mali iliyopatikana kwa ulimi wa uongo 2 ni mvuke upitao upesi na mtego wa kufisha. 1
Cross References
Proverbs 13:4Mvivu hutamani sana na hapati kitu, 2 bali nafsi ya mwenye bidii 2 hutoshelezwa kikamilifu. 1
Proverbs 19:2Sio vizuri kuwa na juhudi bila maarifa, 2 wala kufanya haraka na kuikosa njia. 1
Proverbs 27:23Hakikisha kuwa unajua hali ya makundi yako 2 ya kondoo na mbuzi, 2 angalia kwa bidii ngʼombe zako. 1
Proverbs 29:20Je, unamwona mtu azungumzaye kwa haraka? 2 Kuna matumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko yeye. 1
1 Thessalonians 4:11Jitahidini kuishi maisha ya utulivu, kila mtu akijishughulisha na mambo yake mwenyewe na kufanya kazi kwa mikono yake, kama vile tulivyowaagiza,