Proverbs 29:20
Je, unamwona mtu azungumzaye kwa haraka? 2 Kuna matumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko yeye. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Seest thou a man that is hasty in his words? there is more hope of a fool than of him.
In Context
19Mtumishi hawezi kuonywa kwa maneno matupu, 2 ajapoelewa, hataitikia. 1
21Kama mtu akimdekeza mtumishi wake tangu ujanani, 2 atamletea sikitiko mwishoni. 1
Cross References
Proverbs 21:5Mipango ya mwenye bidii huelekeza kwenye faida, 2 kama vile kwa hakika pupa huelekeza kwenye umaskini. 1
Proverbs 29:11Mpumbavu huonyesha hasira yake yote, 2 bali mwenye hekima hujizuia. 1
James 1:19Ndugu zangu wapendwa, fahamuni jambo hili: Kila mtu awe mwepesi wa kusikiliza, lakini asiwe mwepesi wa kusema wala wa kukasirika.