Proverbs 21:7
Jeuri ya waovu itawaburuta mbali, 2 kwa kuwa wanakataa kufanya yaliyo sawa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The robbery of the wicked shall destroy them; because they refuse to do judgment.
In Context
6Mali iliyopatikana kwa ulimi wa uongo 2 ni mvuke upitao upesi na mtego wa kufisha. 1
8Njia ya mwenye hatia ni ya upotovu, 2 bali tabia ya mtu asiye na hatia ni nyofu. 1
Cross References
Psalms 9:16Bwana anajulikana kwa haki yake, 2 waovu wamenaswa katika kazi za mikono yao. 1
Proverbs 10:6Baraka huwa taji kichwani mwa mwenye haki, 2 lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 1
Proverbs 22:22Usiwadhulumu maskini kwa sababu ni maskini, 2 wala kumdhulumu mhitaji mahakamani, 1
Isaiah 1:23Watawala wenu ni waasi, 2 rafiki wa wevi, 1 wote wanapenda rushwa 2 na kukimbilia hongo. 1 Hawatetei yatima, 2 shauri la mjane haliletwi mbele yao lisikilizwe. 1
Jeremiah 7:15Nitawafukuza mbele yangu, kama nilivyowafanyia ndugu zenu, watu wa Efraimu.’
Ezekiel 22:13“ ‘Hakika nitapiga makofi kwa ajili ya faida isiyo halali uliyojipatia na kwa damu uliyoimwaga ndani yako.