The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 22 › Proverbs 22:12

Proverbs 22:12

Macho ya Bwana hulinda maarifa, 2 bali huyapinga maneno ya asiye mwaminifu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The eyes of the LORD preserve knowledge, and he overthroweth the words of the transgressor.

In Context

11Yeye apendaye moyo safi na yeye ambaye maneno yake ni ya neema, 2 mfalme atakuwa rafiki yake. 1

13Mvivu husema, “Yuko simba nje!” 2 au, “Nitauawa katika mitaa!” 1

Read all of Proverbs 22

Cross References

2 Kings 6:9Mtu wa Mungu akatuma ujumbe kwa mfalme wa Israeli: “Jihadhari usije ukapita mahali pale, kwa sababu Waaramu wanashuka huko.”

Nehemiah 4:9Lakini tulimwomba Mungu wetu, na tukaweka ulinzi usiku na mchana kupambana na tishio hili.

Isaiah 59:19Kuanzia magharibi, watu wataliogopa jina la Bwana 2 na kuanzia mawio ya jua, watauheshimu utukufu wake. 1 Wakati adui atakapokuja kama mafuriko, 2 Roho wa Bwana atainua kiwango dhidi yake na kumshinda. 1

Acts 5:39Lakini ikiwa imetoka kwa Mungu, hamtaweza kuwazuia watu hawa. Badala yake mtajikuta mnapigana na Mungu.”

Acts 12:23Ghafula, kwa kuwa Herode hakumpa Mungu utukufu, malaika wa Bwana akampiga, naye akaliwa na chango, akafa.

2 Thessalonians 2:8Hapo ndipo yule mwasi atafunuliwa, ambaye Bwana Yesu atamteketeza kwa pumzi ya kinywa chake na kumwangamiza kabisa kwa utukufu wa kuja kwake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 22:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 22:11Proverbs 22Proverbs 22:13 →