Isaya 59:19
Kuanzia magharibi, watu wataliogopa jina la Bwana 2 na kuanzia mawio ya jua, watauheshimu utukufu wake. 1 Wakati adui atakapokuja kama mafuriko, 2 Roho wa Bwana atainua kiwango dhidi yake na kumshinda. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20“Mkombozi atakuja Sayuni, 2 kwa wale wa Yakobo 2 wanaozitubu dhambi zao,” 4 asema Bwana.
Cross References
Psalms 22:27Miisho yote ya dunia itakumbuka 2 na kumgeukia Bwana, 1 nazo jamaa zote za mataifa 2 watasujudu mbele zake, 1
Psalms 102:16Kwa maana Bwana ataijenga tena Sayuni 2 na kutokea katika utukufu wake. 1
Isaiah 8:7kwa hiyo Bwana yu karibu kuleta dhidi yao 2 mafuriko makubwa ya Mto: + 8:7 Yaani Frati. 2 yaani mfalme wa Ashuru na fahari yake yote. 1 Yatafurika juu ya mifereji yake yote, 2 yatamwagikia juu ya kingo zake zote, 1
Isaiah 24:14Wanainua sauti zao, wanapiga kelele kwa furaha, 2 kutoka magharibi wanasifu kwa ukelele utukufu wa Bwana. 1
Isaiah 45:6ili kutoka mawio ya jua 2 mpaka machweo yake, 1 watu wapate kujua kwamba hakuna Mungu mwingine ila Mimi. 2 Mimi ndimi Bwana wala hakuna mwingine. 1
Isaiah 66:18“Nami, kwa sababu ya matendo yao na mawazo yao, niko karibu kuja na kukusanya mataifa yote na lugha zote, nao watakuja na kuuona utukufu wangu.