Proverbs 22:11
Yeye apendaye moyo safi na yeye ambaye maneno yake ni ya neema, 2 mfalme atakuwa rafiki yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that loveth pureness of heart, for the grace of his lips the king shall be his friend.
In Context
10Mfukuze mwenye dhihaka, 2 na mvutano utatoweka; 2 ugomvi na matukano vitakoma. 1
12Macho ya Bwana hulinda maarifa, 2 bali huyapinga maneno ya asiye mwaminifu. 1
Cross References
Genesis 41:39Ndipo Farao akamwambia Yosefu, “Maadamu Mungu amekufunulia yote haya, hakuna mwingine yeyote mwenye akili na hekima kama wewe.
Ezra 7:6Huyu Ezra alipanda kutoka Babeli. Alikuwa mwalimu mwenye ujuzi mzuri katika sheria ya Mose, ambayo Bwana, Mungu wa Israeli, alikuwa ametoa. Mfalme alikuwa amempa Ezra kila kitu alichoomba, kwa maana Bwana Mungu wake alikuwa pamoja naye.
Esther 10:3Mordekai Myahudi alikuwa wa pili kwa cheo kutoka Mfalme Ahasuero, naye alikuwa bora kabisa miongoni mwa Wayahudi, akipandishwa katika heshima ya juu na ndugu zake Wayahudi kwa sababu aliwatendea mema watu wake, na alizungumza kwa ajili ya ustawi wa Wayahudi wote.
Psalms 101:6Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi, 2 ili waweze kuishi pamoja nami; 1 yeye ambaye moyo wake hauna lawama 2 atanitumikia. 1
Proverbs 16:13Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu; 2 humthamini mtu asemaye kweli. 1
Daniel 3:30Kisha mfalme akawapandisha vyeo Shadraki, Meshaki na Abednego katika jimbo la Babeli.