The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 22 › Proverbs 22:23

Proverbs 22:23

kwa sababu Bwana atalichukua shauri lao 2 naye atawateka wao waliowateka. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the LORD will plead their cause, and spoil the soul of those that spoiled them.

In Context

22Usiwadhulumu maskini kwa sababu ni maskini, 2 wala kumdhulumu mhitaji mahakamani, 1

24Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira ya haraka, 2 usishirikiane na yule aliye mwepesi kukasirika, 1

Read all of Proverbs 22

Cross References

Exodus 22:23Kama ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao.

1 Samuel 24:15Bwana na awe mwamuzi wetu, yeye na aamue kati yetu. Yeye na anitetee shauri langu; anihesabie haki kwa kuniokoa mkononi mwako.”

Psalms 12:5“Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge 2 na kulia kwa uchungu kwa wahitaji, 1 nitainuka sasa,” asema Bwana. 2 “Nitawalinda kutokana na wale 2 wenye nia mbaya juu yao.” 1

Psalms 35:1Ee Bwana, pingana na wale wanaopingana nami, 2 upigane na hao wanaopigana nami. 1

Psalms 43:1Ee Mungu unihukumu, 2 nitetee dhidi ya taifa lisilomcha Mungu, 2 niokoe na watu wadanganyifu na waovu. 1

Psalms 103:6Bwana hutenda haki, 2 naye huwapa hukumu ya haki wote wanaoonewa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 22:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 22:22Proverbs 22Proverbs 22:24 →