Proverbs 22:24
Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira ya haraka, 2 usishirikiane na yule aliye mwepesi kukasirika, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Make no friendship with an angry man; and with a furious man thou shalt not go:
In Context
23kwa sababu Bwana atalichukua shauri lao 2 naye atawateka wao waliowateka. 1
25la sivyo utajifunza njia zake 2 na kujiingiza mwenyewe kwenye mtego. 1
Cross References
Proverbs 13:20Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima, 2 bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara. 1
Proverbs 21:24Mtu mwenye kiburi na majivuno, “Mdhihaki” ndilo jina lake; 2 hutenda mambo kwa kiburi kilichozidi. 1
2 Corinthians 6:14Msifungiwe nira pamoja na watu wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa, kwa maana pana uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza?