Proverbs 22:26
Usiwe mwenye kupana mikono katika rehani, 2 au kuweka dhamana kwa ajili ya madeni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Be not thou one of them that strike hands, or of them that are sureties for debts.
In Context
25la sivyo utajifunza njia zake 2 na kujiingiza mwenyewe kwenye mtego. 1
27Kama ukikosa njia ya kulipa, 2 kitanda chako 2 kitachukuliwa ukiwa umekilalia. 1
Cross References
Proverbs 11:15Yeye amdhaminiye mgeni hakika atateseka, 2 bali yeyote akataaye kuunga mkono dhamana ni salama. 1
Proverbs 27:13Chukua vazi la yule awekaye dhamana 2 kwa ajili ya mgeni; 1 lishikilie iwe dhamana kama anafanya hivyo 2 kwa ajili ya mwanamke mpotovu. 1