Proverbs 11:15
Yeye amdhaminiye mgeni hakika atateseka, 2 bali yeyote akataaye kuunga mkono dhamana ni salama. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that is surety for a stranger shall smart for it: and he that hateth suretiship is sure.
In Context
14Pasipo ushauri wa hekima taifa huanguka, 2 bali washauri wengi hufanya ushindi uwe wa hakika. 1
16Mwanamke mwenye moyo wa huruma hupata heshima, 2 bali wanaume wakorofi hupata mali tu. 1
Cross References
Proverbs 17:18Mtu mjinga hupana mkono ili kuweka rehani, 2 naye huweka dhamana kwa jirani yake. 1
Proverbs 22:26Usiwe mwenye kupana mikono katika rehani, 2 au kuweka dhamana kwa ajili ya madeni. 1