Proverbs 22:7
Matajiri huwatawala maskini 2 naye akopaye ni mtumwa wa akopeshaye. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The rich ruleth over the poor, and the borrower is servant to the lender.
In Context
6Mfundishe mtoto njia impasayo kuiendea, 2 naye hataiacha hata akiwa mzee. 1
8Yeye aupandaye uovu huvuna taabu, 2 nayo fimbo ya ghadhabu yake itaangamizwa. 1
Cross References
Nehemiah 5:4Bado kukawa na wengine waliokuwa wakisema, “Ilitubidi tukope fedha ili kulipa kodi ya mfalme kwa ajili ya mashamba yetu na mashamba yetu ya mizabibu.
Proverbs 14:31Yeye amwoneaye maskini huonyesha dharau kwa Muumba wao, 2 bali yeyote anayemhurumia mhitaji humheshimu Mungu. 1
Proverbs 22:16Yeye amwoneaye maskini ili kujiongezea mali, 2 naye ampaye tajiri zawadi, wote huwa maskini. 1 Misemo Ya Wenye Hekima 1
Isaiah 24:2ndivyo itakavyokuwa 2 kwa makuhani na kwa watu, 2 kwa bwana na kwa mtumishi, 2 kwa bibi na kwa mtumishi wake wa kike, 2 kwa muuzaji na kwa mnunuzi, 2 kwa mkopaji na kwa mkopeshaji, 2 kwa mdaiwa na kwa mdai. 1
Amos 4:1Sikilizeni neno hili, ninyi ngʼombe wa Bashani 2 mlioko juu ya Mlima Samaria, 1 ninyi wanawake mnaowaonea maskini, 2 na kuwagandamiza wahitaji, 1 na kuwaambia wanaume wenu, 2 “Tuleteeni vinywaji!” 1
Amos 8:4Lisikieni hili, ninyi ambao mnawagandamiza wahitaji, 2 na kuwaonea maskini wa nchi,