Proverbs 23:18
Hakika kuna tumaini la baadaye kwa ajili yako, 2 nalo tarajio lako halitakatiliwa mbali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For surely there is an end; and thine expectation shall not be cut off.
In Context
19Sikiliza, mwanangu na uwe na hekima, 2 weka moyo wako kwenye njia iliyo sawa. 1
Cross References
Psalms 9:18Lakini mhitaji hatasahaulika siku zote, 2 wala matumaini ya walioonewa hayatapotea. 1
Proverbs 24:14Ujue pia kwamba hekima ni tamu kwa nafsi yako, 2 kama ukiipata, kuna matumaini kwako ya siku zijazo, 2 nalo tumaini lako halitakatiliwa mbali. 1
Jeremiah 29:11Kwa maana ninajua mipango niliyo nayo kwa ajili yenu,” asema Bwana, “ni mipango ya kuwafanikisha na wala si ya kuwadhuru, ni mipango ya kuwapa tumaini katika siku zijazo.
Romans 6:21Lakini mlipata faida gani kwa mambo hayo ambayo sasa mnayaonea aibu? Mwisho wa mambo hayo ni mauti.
Hebrews 10:35Kwa hiyo msiutupe ujasiri wenu, kwa maana una thawabu kubwa mno.