Proverbs 23:27
kwa maana kahaba ni shimo refu 2 na mwanamke mpotovu ni kisima chembamba. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For a whore is a deep ditch; and a strange woman is a narrow pit.
In Context
26Mwanangu, nipe moyo wako, 2 macho yako na yafuate njia zangu, 1
28Kama mnyangʼanyi, hungojea akivizia, 2 naye huzidisha wasio waaminifu miongoni mwa wanaume. 1
Cross References
Proverbs 9:15akiita wale wapitao karibu, 2 waendao moja kwa moja kwenye njia yao. 1