Proverbs 9:15
akiita wale wapitao karibu, 2 waendao moja kwa moja kwenye njia yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To call passengers who go right on their ways:
In Context
14Huketi kwenye mlango wa nyumba yake, 2 juu ya kiti katika mahali pa juu sana pa mji, 1
16Anawaambia wale wasio na akili, 2 “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!” 1
Cross References
Proverbs 7:13Huyo mwanamke alimkumbatia kijana na kumbusu, 2 na kwa uso usio na haya akamwambia: 1
Proverbs 23:27kwa maana kahaba ni shimo refu 2 na mwanamke mpotovu ni kisima chembamba. 1