Proverbs 23:28
Kama mnyangʼanyi, hungojea akivizia, 2 naye huzidisha wasio waaminifu miongoni mwa wanaume. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
She also lieth in wait as for a prey, and increaseth the transgressors among men.
In Context
27kwa maana kahaba ni shimo refu 2 na mwanamke mpotovu ni kisima chembamba. 1
Cross References
Genesis 39:10Ingawa yule mwanamke aliendelea kumshawishi Yosefu siku baada ya siku, Yosefu alikataa kukutana naye kimwili wala kukaa karibu naye.
Judges 16:4Baada ya hayo akampenda mwanamke mmoja katika Bonde la Soreki aliyeitwa Delila.
Proverbs 7:10Ndipo huyo mwanamke akatoka kumlaki, 2 hali amevaa kama kahaba akiwa na nia ya udanganyifu. 1
Proverbs 7:22Mara huyo kijana alimfuata yule mwanamke 2 kama fahali aendaye machinjoni, 2 kama kulungu aingiaye kwenye kitanzi, 1
Proverbs 9:18Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo, 2 kwamba wageni wake huyo mwanamke 2 wako katika vilindi vya kuzimu.
Ecclesiastes 7:26Nimeona jambo lililo chungu kuliko mauti, 2 mwanamke ambaye ni mtego, 1 ambaye moyo wake ni wavu wa kutegea 2 na mikono yake ni minyororo. 1 Mtu ampendezaye Mungu atamkwepa, 2 bali mwenye dhambi atanaswa naye.