Proverbs 23:3
Usitamani vyakula vyake vitamu 2 kwa kuwa chakula hicho ni cha hila. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Be not desirous of his dainties: for they are deceitful meat.
In Context
2na utie kisu kooni mwako 2 kama ukiwa mlafi. 1
4Usijitaabishe ili kuupata utajiri, 2 uwe na hekima kuonyesha kujizuia. 1
Cross References
Psalms 141:4Usiuache moyo wangu uvutwe katika jambo baya, 2 nisije nikashiriki katika matendo maovu 1 pamoja na watu watendao mabaya, 2 wala nisije nikala vyakula vyao vya anasa. 1
Daniel 1:8Lakini Danieli alikusudia kuwa hatajitia unajisi kwa chakula cha mfalme na divai, naye akamwomba mkuu wa maafisa ruhusa ili asijinajisi kwa njia hii.
Ephesians 4:22Mlifundishwa kuuvua mwenendo wenu wa zamani, utu wenu wa kale, ulioharibiwa na tamaa zake za udanganyifu,