Proverbs 23:30
Ni hao wakaao sana kwenye mvinyo, 2 hao waendao kuonja mabakuli ya mvinyo uliochanganywa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They that tarry long at the wine; they that go to seek mixed wine.
In Context
Cross References
Psalms 75:8Mkononi mwa Bwana kuna kikombe 2 kilichojaa mvinyo unaotoka povu 2 uliochanganywa na vikolezo; 1 huumimina, nao waovu wote wa dunia 2 hunywa mpaka tone la mwisho. 1
Proverbs 20:1Mvinyo ni mdhihaki na kileo ni mgomvi; 2 yeyote apotoshwaye navyo hana hekima. 1
Amos 6:6Mnakunywa mvinyo kwa bakuli zilizojazwa, 2 na mnajipaka mafuta mazuri, 2 lakini hamhuzuniki kwa maangamizi ya Yosefu. 1