Proverbs 23:32
Mwishowe huuma kama nyoka 2 na kutia sumu yake kama nyoka mwenye sumu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
At the last it biteth like a serpent, and stingeth like an adder.
In Context
33Macho yako yataona mambo mageni 2 na moyo wako kuwazia mambo yaliyopotoka. 1
Cross References
Exodus 7:12Kila mmoja alitupa fimbo yake chini, nayo ikawa nyoka. Lakini fimbo ya Aroni ikazimeza zile fimbo zao.
Proverbs 5:11Mwishoni mwa maisha yako utalia kwa uchungu, 2 wakati nyama na mwili wako vimechakaa. 1
Isaiah 28:3Lile taji la maua, kiburi cha walevi cha Efraimu, 2 kitakanyagwa chini ya nyayo. 1
Isaiah 59:5Huangua mayai ya nyoka wenye sumu kali 2 na kutanda wavu wa buibui. 1 Yeyote alaye mayai yao atakufa, 2 na wakati moja lianguliwapo, nyoka hutoka humo. 1
Jeremiah 8:17“Tazama, nitatuma nyoka wenye sumu kali katikati yenu, 2 fira ambao hawawezi kulogwa, 2 nao watawauma,” 4 asema Bwana. 1
Amos 9:3Wajapojificha juu ya kilele cha Karmeli, 2 huko nitawawinda na kuwakamata. 1 Wajapojificha kutoka kwenye uso wangu 2 katika vilindi vya bahari, 2 huko nako nitaamuru joka kuwauma. 1