Proverbs 24:12
Kama mkisema, “Lakini hatukujua lolote kuhusu hili,” 2 je, yule apimaye mioyo halitambui hili? 1 Je, yule awalindaye maisha yenu halijui hili? 2 Je, hatamlipa kila mtu kulingana na aliyotenda? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Okoa wale wanaoongozwa kwenye kifo; 2 wazuie wote wanaojikokota 2 kuelekea machinjoni. 1
13Ule asali mwanangu, kwa kuwa ni nzuri; 2 asali kutoka kwenye sega ni tamu kwa kuonja. 1
Cross References
1 Samuel 16:7Lakini Bwana akamwambia Samweli, “Usitazame sura yake wala kimo chake, kwa kuwa nimemkataa. Bwana hatazami katika vile vitu mwanadamu avitazamavyo. Mwanadamu hutazama katika sura ya nje, lakini Bwana hutazama moyoni.”
Job 34:11Humlipa mwanadamu kwa ajili ya lile alilotenda; 2 huleta juu yake kile ambacho matendo yake yanastahili. 1
Psalms 17:3Ingawa unauchunguza moyo wangu na kunikagua usiku, 2 ingawa umenijaribu, hutaona chochote. 1 Nimeamua kwamba kinywa changu 2 hakitatenda dhambi. 1
Psalms 62:12na kwamba, Ee Bwana, 2 wewe ni mwenye upendo. 1 Hakika utampa kila mtu thawabu 2 kwa kadiri ya alivyotenda.
Psalms 121:3Hatauacha mguu wako uteleze, 2 yeye akulindaye hatasinzia, 1
Proverbs 5:21Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za Bwana, 2 naye huyapima mapito yake yote. 1