The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 5 › Proverbs 5:21

Proverbs 5:21

Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za Bwana, 2 naye huyapima mapito yake yote. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the ways of man are before the eyes of the LORD, and he pondereth all his goings.

In Context

20Kwa nini mwanangu, utekwe na mwanamke kahaba? 2 Kwa nini ukumbatie kifua cha mke wa mwanaume mwingine? 1

22Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe; 2 kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu. 1

Read all of Proverbs 5

Cross References

Job 14:16Hakika ndipo utakapozihesabu hatua zangu, 2 lakini hutazifuatia dhambi zangu. 1

Job 31:4Je, yeye hazioni njia zangu 2 na kuihesabu kila hatua yangu? 1

Psalms 11:4Bwana yuko ndani ya Hekalu lake takatifu; 2 Bwana yuko kwenye kiti chake cha enzi mbinguni. 1 Huwaangalia wana wa watu, 2 macho yake yanawajaribu. 1

Psalms 119:168Nimetii mausia yako na sheria zako, 2 kwa kuwa njia zangu zote zinajulikana kwako. 2 Kuomba Msaada 1

Psalms 139:3Unafahamu kutoka kwangu na kulala kwangu; 2 unaelewa njia zangu zote. 1

Jeremiah 16:17Macho yangu yanaziona njia zao zote, hazikufichika kwangu, wala dhambi yao haikusitirika.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 5:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 5:20Proverbs 5Proverbs 5:22 →