Proverbs 24:25
Bali itakuwa vyema kwa wale watakaowatia hatiani wenye hatia, 2 nazo baraka tele zitawajilia juu yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But to them that rebuke him shall be delight, and a good blessing shall come upon them.
In Context
24Yeyote amwambiaye mwenye hatia, 2 “Wewe huna hatia,” 1 Kabila zitamlaani 2 na mataifa yatamkana. 1
26Jawabu la uaminifu 2 ni kama busu la midomoni. 1
Cross References
Leviticus 19:17“ ‘Usimchukie ndugu yako moyoni mwako. Karipia jirani yako kwa uwazi ili usishiriki hatia yake.
1 Kings 21:19Umwambie, ‘Hivi ndivyo Bwana asemavyo: Je, hujamuua mtu na kuitwaa mali yake?’ Kisha umwambie, ‘Hivi ndivyo asemavyo Bwana: Mahali ambapo mbwa waliramba damu ya Nabothi, mbwa watairamba damu yako, naam, yako wewe!’ ”
Nehemiah 13:8Nilikasirika sana na nikavitupa nje vyombo vyote vya Tobia.
Nehemiah 13:25Niliwakemea na kuwalaani. Niliwapiga baadhi ya watu na kungʼoa nywele zao. Niliwaapisha kwa jina la Mungu na kusema: “Msiwaoze binti zenu kwa wana wao, wala binti zao wasiolewe na wana wenu wala ninyi wenyewe.
Job 29:16Nilikuwa baba kwa mhitaji; 2 nilimtetea mgeni. 1
Matthew 14:4kwa kuwa Yohana alikuwa amemwambia Herode: “Si halali kwako kuwa na huyo mwanamke.”