Proverbs 24:26
Jawabu la uaminifu 2 ni kama busu la midomoni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Every man shall kiss his lips that giveth a right answer.
In Context
27Maliza kazi zako za nje, 2 nawe uweke mashamba yako tayari, 2 baada ya hayo, jenga nyumba yako. 1
Cross References
Job 6:25Tazama yalivyo ya kuumiza maneno ya kweli! 2 Lakini mabishano yenu yanathibitisha nini? 1
Proverbs 16:1Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu, 2 bali jibu la ulimi hutoka kwa Bwana. 1
Daniel 2:46Ndipo Mfalme Nebukadneza akaanguka kifudifudi mbele ya Danieli kumpa heshima, akaagiza wamtolee Danieli sadaka na uvumba.
Mark 12:32Yule mwalimu wa sheria akamwambia Yesu, “Mwalimu, umejibu vyema kwamba Mungu ni mmoja, wala hakuna mwingine ila yeye.