Proverbs 24:29
Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda mimi; 2 nitamlipiza mtu yule kwa kile alichonitendea.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Say not, I will do so to him as he hath done to me: I will render to the man according to his work.
In Context
28Usishuhudie dhidi ya jirani yako bila sababu, 2 au kutumia midomo yako kudanganya. 1
30Nilipita karibu na shamba la mvivu, 2 karibu na shamba la mizabibu la mtu asiye na akili, 1
Cross References
Judges 15:11Ndipo watu 3,000 toka Yuda walipoteremka na kwenda kwenye ufa wa mwamba huko Etamu, na kumwambia Samsoni, “Je, hujatambua kuwa Wafilisti wanatutawala? Ni nini hiki ulichotutendea?” Akawajibu, “Mimi nimewatendea tu kile walichonitendea.”
Proverbs 20:22Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!” 2 Mngojee Bwana, naye atakuokoa. 1
Matthew 5:39Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu. Lakini kama mtu akikupiga kwenye shavu la kuume, mgeuzie na la pili pia.
1 Thessalonians 5:15Angalieni kuwa mtu asimlipe mwenzake maovu kwa maovu, bali siku zote tafuteni kutendeana mema ninyi kwa ninyi na kwa watu wote.