Proverbs 24:28
Usishuhudie dhidi ya jirani yako bila sababu, 2 au kutumia midomo yako kudanganya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Be not a witness against thy neighbour without cause; and deceive not with thy lips.
In Context
27Maliza kazi zako za nje, 2 nawe uweke mashamba yako tayari, 2 baada ya hayo, jenga nyumba yako. 1
29Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda mimi; 2 nitamlipiza mtu yule kwa kile alichonitendea.” 1
Cross References
Exodus 20:16Usimshuhudie jirani yako uongo. 1
1 Samuel 22:9Lakini Doegi Mwedomu, ambaye alikuwa akisimama na maafisa wa Sauli, akasema, “Nilimwona mwana wa Yese akija kwa Ahimeleki mwana wa Ahitubu huko Nobu.
Job 2:3Bwana akamwambia Shetani, “Je, umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Hakuna mtu mwingine duniani aliye kama yeye, mtu asiye na hatia, ni mnyofu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu. Naye bado anadumisha uadilifu wake, ingawa ulinichochea dhidi yake, ili nimwangamize pasipo sababu.”
Psalms 35:11Mashahidi wakatili wanainuka, 2 wananiuliza mambo nisiyoyajua. 1
Proverbs 14:5Shahidi mwaminifu hadanganyi, 2 bali shahidi wa uongo humimina uongo. 1
Proverbs 19:9Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, 2 naye amwagaye uongo ataangamia. 1