Proverbs 24:34
hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi, 2 na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So shall thy poverty come as one that travelleth; and thy want as an armed man.
In Context
33Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, 2 bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika: 1
Cross References
Proverbs 10:4Mikono mivivu hufanya mtu kuwa maskini 2 lakini mikono yenye bidii huleta utajiri. 1
Proverbs 18:9Mtu aliye mlegevu katika kazi yake 2 ni ndugu na yule anayeharibu. 1