Proverbs 24:33
Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, 2 bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yet a little sleep, a little slumber, a little folding of the hands to sleep:
In Context
32Nikatafakari moyoni mwangu lile nililoliona, 2 nami nikajifunza somo kutokana na niliyoyaona: 1
34hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi, 2 na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.
Cross References
Proverbs 6:4Usiruhusu usingizi machoni pako, 2 usiruhusu kope zako zisinzie. 1
Proverbs 18:9Mtu aliye mlegevu katika kazi yake 2 ni ndugu na yule anayeharibu. 1
Romans 13:11Nanyi fanyeni hivi, mkiutambua wakati tulio nao. Saa ya kuamka kutoka usingizini imewadia, kwa maana sasa wokovu wetu umekaribia zaidi kuliko hapo kwanza tulipoamini.
1 Thessalonians 5:6Kwa hiyo basi, tusilale kama watu wengine walalavyo, bali tukeshe na kuwa na kiasi.