Proverbs 18:9
Mtu aliye mlegevu katika kazi yake 2 ni ndugu na yule anayeharibu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He also that is slothful in his work is brother to him that is a great waster.
In Context
8Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; 2 huingia sehemu za ndani sana za mtu. 1
10Jina la Bwana ni ngome imara, 2 wenye haki huikimbilia na kuwa salama. 1
Cross References
Job 30:29Nimekuwa ndugu wa mbweha, 2 rafiki wa mabundi. 1
Proverbs 19:15Uvivu huleta usingizi mzito, 2 naye mtu mzembe huona njaa. 1
Proverbs 23:21kwa maana walevi na walafi huwa maskini, 2 nako kusinzia huwavika matambara. 1
Proverbs 24:33Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, 2 bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika: 1
Proverbs 28:24Yeye amwibiaye babaye au mamaye 2 na kusema, “Si kosa,” 2 yeye ni mwenzi wa yule aharibuye. 1
Luke 15:13“Baada ya muda mfupi, yule mdogo akakusanya vitu vyote alivyokuwa navyo, akaenda nchi ya mbali, na huko akaitapanya mali yake kwa maisha ya anasa.