Proverbs 24:5
Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa, 2 naye mtu mwenye maarifa huongeza nguvu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A wise man is strong; yea, a man of knowledge increaseth strength.
In Context
4kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwa 2 vitu vya thamani na vya kupendeza. 1
6kwa kufanya vita unahitaji uongozi 2 na kwa ushindi washauri wengi. 1
Cross References
Proverbs 8:14Ushauri na hukumu sahihi ni vyangu; 2 nina ufahamu na nina nguvu. 1
Proverbs 21:22Mtu mwenye hekima huushambulia mji wa wenye nguvu, 2 na kuangusha ngome wanazozitegemea. 1
Ecclesiastes 9:14Palikuwa na mji mdogo uliokuwa na watu wachache ndani yake. Mfalme mwenye nguvu akainuka dhidi yake, akauzunguka akaweka jeshi kubwa dhidi yake.
Isaiah 40:31bali wale wamtumainio Bwana 2 atafanya upya nguvu zao. 1 Watapaa juu kwa mbawa kama tai; 2 watapiga mbio wala hawatachoka, 2 watatembea kwa miguu wala hawatazimia.