Proverbs 24:4
kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwa 2 vitu vya thamani na vya kupendeza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And by knowledge shall the chambers be filled with all precious and pleasant riches.
In Context
3Kwa hekima nyumba hujengwa, 2 nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa 1
5Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa, 2 naye mtu mwenye maarifa huongeza nguvu, 1
Cross References
1 Kings 4:22Mahitaji ya Solomoni ya kila siku yalikuwa kori thelathini + 4:22 Kori 30 ni sawa na madebe 360. za unga laini, kori sitini + 4:22 Kori 60 ni sawa na madebe 720. za unga wa kawaida.
1 Chronicles 29:2Kwa uwezo wangu wote nimetenga mali kwa ajili ya Hekalu la Mungu wangu: dhahabu kwa kazi za dhahabu, fedha kwa ajili ya fedha, shaba kwa kazi za shaba, chuma kwa kazi za chuma na miti kwa kazi za miti, vivyo hivyo vito vya shohamu kwa ajili ya kutia kwenye vijalizo, almasi, mawe ya rangi mbalimbali, aina zote za vito vya thamani na marmar; yote haya kwa wingi mno.
2 Chronicles 26:4Akatenda yaliyo mema machoni pa Bwana, kama Amazia baba yake alivyofanya.
Nehemiah 13:5naye alikuwa amempa Tobia chumba kikubwa ambacho mwanzo kilikuwa kikitumika kuweka sadaka za nafaka, uvumba na vyombo vya Hekalu, pamoja na zaka za nafaka, divai mpya na mafuta waliyoagizwa Waisraeli kwa ajili ya Walawi, waimbaji na mabawabu wa lango, pamoja na matoleo kwa makuhani.
Proverbs 8:18Utajiri na heshima viko kwangu, 2 utajiri udumuo na mafanikio. 1
Proverbs 15:6Nyumba ya mwenye haki ina hazina kubwa, 2 bali mapato ya waovu huwaletea taabu. 1