Proverbs 25:11
Neno lisemwalo kwa wakati ufaao 2 ni kama matunda ya mtofaa ya dhahabu 2 yaliyowekwa kwenye vijalizo vya fedha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A word fitly spoken is like apples of gold in pictures of silver.
In Context
10ama yeye aisikiaye aweza kukuaibisha 2 na kamwe sifa yako mbaya haitaondoka. 1
Cross References
1 Samuel 25:35Ndipo Daudi akapokea kutoka mkononi mwake kile alichokuwa amemletea, naye akasema, “Nenda nyumbani kwako kwa amani; nimesikia maneno yako na kukujalia ombi lako.”
Proverbs 15:23Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa: 2 je, ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati wake! 1
Ecclesiastes 12:10Mhubiri alitafiti ili kupata maneno sahihi na kila alichoandika kilikuwa sawa na kweli.