Proverbs 15:23
Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa: 2 je, ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati wake! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A man hath joy by the answer of his mouth: and a word spoken in due season, how good is it!
In Context
24Mapito ya uzima huelekea juu kwa ajili ya wenye hekima 2 kumwepusha asiende chini kaburini. 1
Cross References
1 Samuel 25:32Daudi akamwambia Abigaili, “Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli aliyekutuma kunilaki leo.
Proverbs 12:14Kutokana na tunda la midomo yake 2 mtu hujazwa na mambo mema, 2 hakika kama ilivyo kazi ya mikono yake humtunza. 1
Proverbs 16:13Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu; 2 humthamini mtu asemaye kweli. 1
Proverbs 24:26Jawabu la uaminifu 2 ni kama busu la midomoni. 1
Ecclesiastes 3:1Kuna wakati kwa ajili ya kila jambo, 2 nayo majira kwa kila tendo chini ya mbingu: 2
John 1:37Wale wanafunzi wawili walipomsikia Yohana akisema haya, wakamfuata Yesu.