Proverbs 25:20
Kama vile avuaye mavazi siku ya baridi, 2 au kama siki iliyomwagwa juu ya magadi, 2 ndivyo alivyo yeye amuimbiaye nyimbo mtu mwenye moyo mzito. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale; 2 kama ana kiu, mpe maji anywe. 1
Cross References
Job 24:7Kwa kukosa nguo, usiku kucha hukaa uchi; 2 hawana chochote cha kujifunika baridi. 1
Proverbs 10:26Kama siki ilivyo kwa meno na moshi kwa macho, 2 ndivyo alivyo mvivu kwa wale waliomtuma. 1
Isaiah 58:7Je, sio kushirikiana chakula chako na wenye njaa 2 na kuwapatia maskini wasiokuwa na makao hifadhi, 1 unapomwona aliye uchi, umvike, 2 wala si kumkimbia mtu wa nyama na damu yako mwenyewe? 1
Romans 12:15Furahini pamoja na wenye kufurahi, lieni pamoja na wale waliao.
James 5:15Kule kuomba kwa imani kutamwokoa huyo mgonjwa, naye Bwana atamwinua na kama ametenda dhambi, atasamehewa.